Baraza la Qurani

IQNA

IQNA – Maafisa wa Maonyesho ya 11 ya Kimataifa ya Vitabu ya Istanbul wametangaza kuanzishwa kwa “Baraza la Kimataifa la Qur’an” (World Quran Assembly) pembezoni mwa siku ya kwanza ya hafla hiyo.
Habari ID: 3482637   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/17